logo

Maono (Vision)

Kuwa watoaji namba moja Tanzania wa program ya kusimamia wapangaji na mikataba yao kwa kutumia teknolojia ya ubunifu ikiwa na lengo la kutoa huduma bora na ufanisi zaidi katika biashara ya kupangisha nyumba.

Dhamira (Mission)

Kurahisisha mchakato wa ukusanyaji kodi kwa wamiliki wa nyumba na kwa wakati, kupata taarifa sahihi za mpangaji na mkataba, kuhifadhi data salama. Tunalenga kuboresha mahusiano kati ya mwenye nyumba na mpangaji.

Malengo (Long-Term Plan)

Ifike muda jamii ya Kitanzania ihame kwenye kutumia daftari (counter book) na Excel File kwenye biashara ya kupangisha nyumba na badala yake itumie program yetu ya Pangisha.